WIZARA YA NISHATI YATUMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUTOA ELIMU YA NISHATI...
Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake imeendelea kutumia njia mbalimbali kufikisha elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi ambapo safari hii elimu...
WATANZANIA MILIONI 18 WANUFAIKA NA MFUKO WA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
Na Magrethy Katengu, Mzawa Media – Dar es Salaam
Serikali imeendelea kutekeleza jitihada za kuwawezesha wananchi kiuchumi, ambapo katika mwaka wa fedha 2024/2025 imetenga kiasi...
MCHENGERWA AWAFUNDA VIONGOZI WAPYA WA UDART, DART
Na John Mapepele
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekutana na viongozi wapya wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
SERIKALI YATOA SHILINGI TRILIONI 3.5 KUWEZESHA VIJANA KIUCHUMI -MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa kiasi cha shilingi trilioni 3.5 kufikia mwaka 2024 kwa ajili ya uwezeshaji wa vijana kiuchumi kutoka shilingi...
WANANCHI WA MARA NA SIMIYU WAMSHUKURU DKT. SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhitimisha...
BARRICK GOLD MINE YAPONGEZWA KWA ULIPAJI WA KODI MZURI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ameupongeza uongozi wa mgodi wa kuchimba madini ya dhahabu wa Barrick kwa...
MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO 2030
Serikali imeeleza mafanikio makubwa ya utekelezaji wa miradi ya kusambaza umeme maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji ambapo Serikali kupitia Wakala wa Nishati...










