WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAJIIMARISHA KISHERIA USIMAMIZI WA BIASHARA ZA UTALII NCHINI
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Utalii imeendelea kujiimarisha kisheria kwa kuwajengea uwezo Maafisa wake kupitia mafunzo maalum kuhusu Sheria na Kanuni...
MIRADI YA KIMKAKATI YA TANROADS INAUFUNGUA MKOA WA SONGWE-ENG BISHANGA
Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo upanuzi wa barabara kuu...
DKT NCHIMBI ATOA AHADI YA MATUMIZI YA NDEGE NYUKI ‘DRONES’ | ILI KUFUKUZA WANYAMA...
gombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia CCM, Balozi Emmanuel Nchimbi amesema Serikali ijayo ya Chama hicho inakusudia Kutumia...
SERIKALI YAONGEZA MISHARA YA SEKTA BINAFSI
Serikali imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kwa wastani wa asilimia 33.4, kutoka shilingi 275,060 hadi shilingi...
TAIFA STARS YAPOTEZA MECHI YA NNE MFULULIZO,YACHAPWA NA IRAN
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea kupata matokeo mabaya baada ya kupoteza mchezo wake wa nne mfululizo, kufuatia kichapo cha mabao 2-0...
TANZANIA KUNUFAIKA NA PROGRAM YA BENKI YA DUNIA YA KUENDELEZA KILIMO
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C
Tanzania inatarajiwa kunufaika na mpango wa Benki ya Dunia wa kuboresha mnyororo wa thamani wa sekta ya kilimo katika Bara...
DHAMIRA YA KUONGEZA KIPATO NA KUPUNGUZA UMASKINI KWA WATANZANIA
Rais wa Awamu ya Sita na Mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka msisitizo katika kampeni...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango Ashiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa...













