Viwanda vitatu vilivyosimama Uzalishaji vyafufuliwa Mkoa wa Tanga
Viwanda vitatu (3) vilivyosimama uzalishaji kwa sababu mbalimbali vimefufuliwa na vitaanza uzalishaji kamili Januari 2026 baada ya kukamilisha hatua mbalimbali ikiwemo ufungaji wa mitambo...