WIZARA YA NISHATI YATUMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUTOA ELIMU YA NISHATI...
Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake imeendelea kutumia njia mbalimbali kufikisha elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi ambapo safari hii elimu...
WATANZANIA MILIONI 18 WANUFAIKA NA MFUKO WA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
Na Magrethy Katengu, Mzawa Media – Dar es Salaam
Serikali imeendelea kutekeleza jitihada za kuwawezesha wananchi kiuchumi, ambapo katika mwaka wa fedha 2024/2025 imetenga kiasi...
MCHENGERWA AWAFUNDA VIONGOZI WAPYA WA UDART, DART
Na John Mapepele
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekutana na viongozi wapya wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
SERIKALI YATOA SHILINGI TRILIONI 3.5 KUWEZESHA VIJANA KIUCHUMI -MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa kiasi cha shilingi trilioni 3.5 kufikia mwaka 2024 kwa ajili ya uwezeshaji wa vijana kiuchumi kutoka shilingi...







