BAGAMOYO WAJA NA FILAMU YA BAGAMOYO PREMIER TOUR
Baada ya Filamu ya Royal tour iliyoongozwa na kuratibiwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Sasa Bagamoyo waja na Bagamoyo Premier Tour Filamu...
SERIKALI IMETENGA ZAIDI HEKTA LAKI 7 ZA MALISHO
Na Deborah Lemmubi - Dodoma.
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dkt Ashatu Kijaji ameeleza kuwa katika kipindi cha maika minne ya Uongozi wa Dkt Samia...
YAMMI AACHANA NA LEB0 YA NANDY
Msanii wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kipekee, Yammi, sasa anatua rasmi katika hatua mpya ya maisha yake ya muziki baada ya kumaliza mkataba...
REA YAPONGEZWA NA JESHI LA MAGEREZA UHAMASISHAJI NISHATI SAFI
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), umepongezwa na Jeshi la Magereza kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi zinazohudumia watu zaidi...







