CG MWENDA ABAINI UKWEPAJI KODI MKUBWA VIWANDANI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 17.05.2025 amefanya ziara ya kushitukiza kwenye baadhi ya Viwanda vilivyopo...
MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI
▪️Awataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na Sanaa ina mchango mkubwa katika...
DKT SAMIA KUPIGA KURA KWA MARA YA KWANZA JIJINI DODOMA ,UCHAGUZI MKUU 2025.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Wito kwa Watanzania wote kujitokeza ili kujiandikisha na kuboresha...
KASI UKUAJI SEKTA YA MADINI WAONGEZEKA KUTOKA ASILIMIA 9.4 HADI 11.3 2023.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Waziri wa Madini Mhe Anthony Mavunde ameeleza kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara ya Madini imeyatambua na kuyapa hadhi ya vituo...
REA YAENDELEA KUHAMASISHA MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME MKOANI MOROGORO
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa umma kuhusu matumizi...
BAGAMOYO WAJA NA FILAMU YA BAGAMOYO PREMIER TOUR
Baada ya Filamu ya Royal tour iliyoongozwa na kuratibiwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Sasa Bagamoyo waja na Bagamoyo Premier Tour Filamu...
SERIKALI IMETENGA ZAIDI HEKTA LAKI 7 ZA MALISHO
Na Deborah Lemmubi - Dodoma.
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dkt Ashatu Kijaji ameeleza kuwa katika kipindi cha maika minne ya Uongozi wa Dkt Samia...
YAMMI AACHANA NA LEB0 YA NANDY
Msanii wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kipekee, Yammi, sasa anatua rasmi katika hatua mpya ya maisha yake ya muziki baada ya kumaliza mkataba...
REA YAPONGEZWA NA JESHI LA MAGEREZA UHAMASISHAJI NISHATI SAFI
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), umepongezwa na Jeshi la Magereza kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi zinazohudumia watu zaidi...
MWENGE WAPITA MUFINDI, MRADI WA REA WA BILIONI 17 WAZINDULIWA
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ussi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekelezaji wa mradi wa umeme jazilizi...













