TANZANIA YAAHIDI USHIRIKIANO KUTEKELEZA BEIJING+30
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania iko tayari kushirikiana na wadau mbalimbali zikiwemo serikali, mashirika ya kimataifa, sekta...
MSAADA WA KISHERIA WA MAMA SAMIA WALETA NEEMA UNGUJA
Kampeni ya Msaada wa Kisheria iliyoanzishwa kwa juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa msaada...
KILIMANJARO YAFAIDIKA NA MIRADI YA UMEME REA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa umma kuhusu matumizi...






