Dkt. ABDALLAH: MAFANIKIO YA AfCFTA YATEGEMEA USHIRIKIANO WA SEKTA BINAFSI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt Hashil Abdallah amewashauri Makatibu Wakuu wa Biashara chini ya Mkataba wa eneo Huru la Biashara Barani...
ZAO LA MWANI KATANI NA KOROSHO KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb.) ameiagiza Bodi ya Stakabadhi za Ghala kuhakikisha zao la Mwani, linakuwa zao la kwanza...





